Je unajua kuwa Alhamisi ya leo historia inaenda kuweka kwenye mechi kali ya kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora kwenye mechi ya kibabe kati ya Hispania dhidi ya Austria kule katika dimba la Los Angeles.
Vita kati ya timu ya Taifa ya Hispania dhidi ya Austria inatarajiwa kuanza majira ya saa 4:00 usiku huku kila timu ikiwa na uchu wa kusonga mbele kwenye hatua ya 16 ya michuano hii mikubwa Duniani. Zinakutana timu mbili zenye falsafa na mtindo tofauti ya uchezaji ambapo vijana wa Luis de la Fuente wanasifika kwa kumiliki kwa mpira na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.
Austria ni timu ambayo inajikita zaidi kwenye kujilinda zaidi yaani nidhamu ya hali ya juu, nguvu na kufanya pia mashambulizi ya haraka pale ambapo wanapata mpira kwani uwezo wao wa kumiliki mpira sio mkubwa ukilinganisha na ule wa mabingwa wa Ulaya.
Luis de la Fuente anaingia kwenye mchezo huu akiwa na nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao mpaka sasa kama vile Lamine Yamal, Olmo, Pedri, Oyarzabal, Rodri, Merino na wachezaji wengine ambao kwa pamoja wanaifanya timu hii kuwa tishio. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii. Beti sasa.
Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Austria wao kwenye Kundi lao walimaliza nafasi ya pili baada ya kujikusanyia pointi 4 ambapo leo hii wanatarajiwa kumzuia Mhispania kwenda hatua ya 16 bora wakiwa na wachezaji kama vile Konrad Laimer, Sabitzer, David Alaba, Schmid ambao hawa ndio mastaa wa timu hiyo.
Hispania inahitaji huu mchezo kwa hali na mali kwani ni miaka 16 imepita toka wawe mabingwa ambapo ilikuwa ni 2010. Lakini pia timu hii ni moja ya zile timu 6 zinazopewa nafasi kubwa ya kuondoka na kombe hili mwaka huu.
Kwenye hatua hii ya mtoani kila timu hujipanga na huja na mbinu tofauti ilimradi iweze kuvuka kwenye hatua inayofuata ya mashindano haya. Mashabiki wengi Duniani wanasubiri kuona kama timu hii ya De la Fuente wanaweza wakafanya vyema kama ilivyokuwa kwenye michuano ya Euro.
Hii ni nafasi pia kwa wachezaji ambao wanahitaji kusajiliwa kwenye vilabu vingine, nafasi ya wao kuonesha ubora kwenye hizi mechi ni muhimu sana kwani ni chache sana hivyo kutumia nafasi wanazopata ni muhimu sana.
Je Austria anaweza akamzuia Hispania kwenda hatua inayofuata ya mahsindano haya makubwa Duniani?. Tengeneza jamvi lako la ushindi na ushinde siku ya leo.


No comments:
Post a Comment