HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 5, 2026

TANZANIA NA KENYA ZASANII MKATABA WA VYETI VYA MABAHARIA NA NA USHIRIKIANO WA USAFIRI WA MAJINI



SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania na Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri wa Majini nchini Kenya wamesaini mkataba wa utambuzi wa vyeti vya mabaharia na hati ya makubaliano kuhusu ushirikiano na usimamizi wa sekta ya usafiri wa njia ya maji baina ya nchi hizo mbili.


Mkataba huo umesainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mohamed Salum na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri wa Majini nchini Kenya CPA Omaye Nyarandi mbele ya Marais, Samia Suluhu Hassan na Rais William Ruto katika Hafla iliyofanyika Mei 4, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad