HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 19, 2026

Aston Villa Kuminyana Na Sunderland

 


LIGI Kuu ya Uingereza (EPL) inarudi na mechi ya kusisimua leo tarehe 19 kwenye uwanja wa Villa Park, ambapo Aston Villa itakuwa mwenyeji wa Sunderland kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza utakaopigwa saa 16:00 kwa muda wa Afrika Mashariki.

Aston Villa wanakwenda kwenye mchezo huu wakiwa na matumaini makubwa ya kuhakikisha nafasi yao ya kumaliza kwenye nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi hiyo, huku takwimu zao msimu huu wakishika nafasi ya 4 wakiwa na alama 55 nafasi inayowapa tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya endapo watamaliza msimu kwenye nafasi hiyo.

Kwa upande mwingine, Sunderland wanaongozwa na kocha Regis Le Bris na wamekuwa na kiwango kizuri msimu huu, wakiwa wameshinda mechi tatu kati ya nne zilizopita, na wanatarajiwa kumaliza msimu kwenye nafasi ya 10 kwa alama 46.

Katika mchezo wa kwanza wa msimu kati ya timu hizi, uliopigwa Septemba 21, 2025 kwenye uwanja wa Stadium of Light, ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 huku Matty Cash akiwa amefunga bao la Aston Villa huku William Isidor akifunga la Sunderland.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Aston Villa wamekuwa na rekodi nzuri wanapocheza kwenye uwanja wao wa Villa Park msimu huu, wakishinda mechi 10 kati ya 16 na kufunga mabao 23, huku Sunderland wakipata shida ugenini wakiwa wameshinda mechi 4 tu kati ya 16 na kufunga mabao 10 pekee. Jisajili sasa

Jiunge kwenye familia yenye Odds kubwa uweze kuvuna maokoto

Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, Aston Villa wameibuka na ushindi mara 13 kati ya mechi 34 za Ligi Kuu, Sunderland wakiibuka na ushindi mara 7 huku sare zikiwa 14, na katika mechi za hivi karibuni za Villa Park, Aston Villa wamekuwa wakiibuka na ushindi mara 6, sare 2 na kushindwa mara 2 tu.

Mchezo huu unaahidi kuwa wa kuvutia kwa kuwa Aston Villa wanatafuta uhakika wa kushiriki michuano ya Ulaya, huku Sunderland wakiwa na ndoto za kufuzu kwa michuano hiyo kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad