HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 13, 2026

Rais Dkt. Samia Afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye Futari aliyowaandalia pamoja na Viongozi mbalimbali, tarehe 13 Machi, 2026.











Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chakechake, wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Kiwanja cha Kufurahisha watoto Tibirinzi, Mkoa wa Kusini Pemba, tarehe 13 Machi, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad