
KAMA unataka ODDS za kishua njoo Meridianbet?. Safari yako ya ushindi ipo hapa pekee hivyo changamkia nafasi hii leo. Machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana kwa kila mechi.
CHAMPIONSHIP Uingereza kuna mchezo mmoja ambao utaendelea kati za Portsmouth dhidi ya Derby Country ambao wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii. Je beti yako unaiweka kwa nani?. Suka jamvi hapa.
Kule LALIGA Hispania kuna mechi ya Rayo Vallecano dhidi ya Levante ambao wanashika nafasi ya 2 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 9 huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Tandika jamvi hapa.
Italia SERIE A, Cremonese watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Fiorentina ambao wanahitaji ushindi kwenye mechi hii kuendelea kujioka kwenye nafasi za kushuka daraja. Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 sasa. Ingia na ujisajili hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Uingereza EPL Jumatatu ya leo kuna mechi moja ya kibabe sana kati ya vibonde wa ligi Wolves ambao watakuwa ugenini dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana kati yao Nyuki walishinda. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Bashiri hapa.
Kule Brazil, SERIE A itaendelea kwa mechi kadhaa ambapo Coritiba ataumana dhidi ya Remo ambapo Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA zaidi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 kwenye msimamo wa ligi. Beti mechi hii sasa.
Kwa upande wa Palmeiras yeye atakipiga dhidi ya Mirassol huku takwimu zikionesha kuwa mara ya mwisho kukutana kati yao wenyeji walipoteza mechi hii, hivyo leo hii ni siku ya kulipa kisasi. Je wewe unampa nani nafasi ya kuondoka na pointi 3?. Suka jamvi mechi hii leo.
Mechi nyingine ni hii ya Vasco Dagama akiwa ugenini dhidi ya Cruzeiro ambao wanashika nafasi ya 19 huku wageni wao wkaiwa nafasi ya 20. Yaani zinakutana timu ambazo zipo kwenye nafasi za mwisho kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Jisajili hapa.

No comments:
Post a Comment