HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 16, 2026

Mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusu Ziara za Kikazi alizofanya Rais Dkt. Samia, Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia UAE Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 MKUTANO wa Waandishi wa Habari kuhusu Ziara za Kikazi alizofanya Rais Mhe. Dkt. Samia, Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia pamoja na Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu akizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo akizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu mafanikio ya Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026. Waziri Mhe. Balozi Kombo alielezea kwa kina ushiriki wa Tanzania katika mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika mkutano huo.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe akizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu mafanikio ya Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026.




Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari wakiwa kwenye Mkutano kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad