
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, leo Januari 21, 2026 amewasilisha Taarifa ya Taasisi mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini jijini Dodoma.
Kamati hiyo ilipata fursa ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya Nishati na utekelezaji wa Majukumu ya TANESCO



No comments:
Post a Comment