HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 6, 2026

RC BABU AFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU RC MSTAAFU KAPTENI MSANGI.

 

MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Njombe na Mara mwaka 2012/2016, Kapteni Aseri Msangi nyumbani kwa marehemu Chekereni wilayani Moshi. 

Kapteni Msangi aliyehudumu katika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali na Chama cha Mapinduzi ikiwemo ukuu wa wilaya za Geita, Mwanza, Musoma, Ngorongoro, Nanyumbu na Iringa akifariki Dunia Januari 2 mwaka huu katika hospitali ya rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC. 

Kwa mujibu wa familia, marehemu atazikwa kesho nyumbani kwake Chekereni wilayani Moshi. 


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad