HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 16, 2026

Jisajili na Meridianbet na Ushinde Leo

 

NAFASI ya kuondoka na Mamilioni ipo Meridianbet leo kwani mechi nyingi za ushindi zipo leo. Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi.

LALIGA kule Hispania kutakuwa na mechi moja kali kati ya Espanyol Barcelona vs Girona mabapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri hapa.

Kule Ujerumani BUNDESLIGA pia inatarajiwa kuendelea Werder Bremen vs Frankfurt ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 8 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 12 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 7. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.

SERIE A kule Italia kuna mechi kali pia ambapo Atalanta atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Pisa ambao wamepanda daraja msimu huu na wanashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 7. ODDS KUBWA zipo mechi jii. Jisajili sasa.

Kusanya pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia kule Ufaransa LIGUE 1 kuna mitanange miwili ambapo AS Monaco atakipiga dhidi ya Lorient ambapo mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipoteza mechi hii. Hii ni mechi ya kisasi kwa mwenyeji kwani mechi ya mwisho walishindwa kupata matokeo. Bashiri hapa.

Mechi nyingine ni hii ya PSG vs Lille ambapo tofauti yao hadi sasa ni 7 pekee. Ikumbukwe kuwa vijana wa Enrique wanashika nafasi ya 2 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya mwisho kukutana hawa wawili walitoa sare. Je leo hii nani kupata ushindi?. Suka jamvi hapa.

CHAMPIONSHIP kule Uingereza itaendelea pia ambapo West Bromwich atamenyana dhidi ya Middlesbrough ambao wapo nafasi ya 2 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 18 kwenye ligi. Kila timu inahitaji ushindi kusogea kwenye nafasi ya juu. Beti hapa.

Ligi kuu ya Saudi Arabia, SAUDI PROFESSIONAL kutakuwa na ligi pia ambapo Al Najma atakuwa mwenyeji wa Al Fateh ambao wapo nafasi ya 10 huku mwenyeji yeye yupo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 15. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Tandika jamvi hapa.

Al Khaleej atamenyana dhidi ya Al Akhdoud ambapo mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi mnono. Leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi akiwa nyumbani. Je ataweza?. Meridianbet anakwambia kuwa ushindi upo wazi wazi leo?. Bashiri hapa leo.

Naye Al Ittihad atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Al Ettifaq ambao kwasasa wapo nafasi ya 7 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. ODDS KUBWA za kibabe zipo hapa na Meridianbet. Tandika jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad