
JE, uko tayari kugeuza kila dau kuwa burudani na kila hatua kuwa nafasi ya ushindi? Meridianbet, kinara wa ubashiri Tanzania, kwa kushirikiana na Yas Tanzania kupitia Mixx by Yas, wamezindua promosheni kabambeya JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa, fursa ya kipekee inayowalenga wabashiri kote nchini kuanzia Januari 27 hadi Aprili 27, 2026. Hapa si dau tu, ni safari ya ushindi iliyojaa zawadi na burudani ya hali ya juu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo, mwakilishi wa Meridianbet, Clementina Kigwa, alieleza kwa msisitizo dhamira ya kampuni kuendelea kutoa thamani halisi kwa wateja wake. “Tunafurahi kushirikiana na Mixx by Yas kuleta promosheni hii yenye msisimko mkubwa. Meridianbet tunaamini burudani bora huenda sambamba na fursa za ushindi na JIMIXX ni uthibitisho wa hilo,” alisema, huku akiwahamasisha wateja kuingia mchezoni mapema.
Sasa, unashindaje kwenye promosheni hii? Ni rahisi sana. Kila siku, ukiweka dau la Tsh 5,000 au zaidi kupitia Mixx by Yas, unapata mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino kutokakwa muandaaji, Expanse Studios. Hii ni nafasi ya kuongeza ushindi bila gharama za ziada, unaweka dau, unapata burudani, na ushindi unakuja wenyewe.
Mbali na mchezo huu, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Zawadi zimepangwa kwa makundi tofauti tofauti. Kila siku kuna mizunguko ya bure, kila wiki kuna simu mpya za Samsung A26 (2 kila wiki), na kilele cha promosheni kinakuja na zawadi kuu, Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer, pamoja na TV Hisense inch 55.
Kwa upande wake, Meneja Biashara wa Mixx by Yas, Ayimbora John, amewaalika wateja kuchangamkia fursa hii kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao za Meridianbet kupitia Mixx by Yas, iwe ni kupitia Mixx Super App au kwa kupiga *150*01#, kisha Malipo ya Bili, Namba ya Biashara 444999 na kuingiza kiasi.
Washindi huchaguliwa kupitia droo za kila siku, huku droo kuu za wiki zikifanyika kila Jumatano na Ijumaa. Usibaki nje, ingia, JIMIXX sasa, chukua Ushindi Bab Kubwaa, na cheza kama bingwa na Meridianbet.


No comments:
Post a Comment