JUMAPILI ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet imefika leo. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao hutangazwa hapa kila wiki.
LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea siku ya leo ambapo Valencia ataumana dhidi ya Sevilla ambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA, hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Elche dhidi ya Girona ambapo mara ya mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi. Mwenyeji anataka kulipa kisasi siku ya leo wakiwa nyumbani. Je wewe pesa yako unaiweka kwa nani?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Beti sasa.
Vijana wa Xabi Alonso, Real Madrid watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Celta Vigo ambao wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Mabingwa hawa mara nyingi wa Ulaya wanahitaji ushindi kwa hali na mali mechi hii pale Bernabeu. Je nani kuondoka na pointi 3?. Jisajili hapa.
Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni, Cheza Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kule Ufaransa pia LIGUE 1 kutakuwa na mitanange ya pesa ambapo Nice atakipiga dhidi ya Angers ambao wapo nafasi ya 11 huku kwa upande wa mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 9. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho walipokutana, mwenyeji aliondoka na ushindi mechi zote mbili. Bashiri sasa.
Le Havre ya kina Samatta watakuwa na kibarua cha kupata ushindi dhidi ya Paris FC ambao wamepanda daraja msimu huu na mpaka sasa wote wana pointi sawa yaani 14. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ili kujiweka sawa kwenye nafasi ya kusalia ligi msimu ujao. ODDS KUBWA zipo hapa leo. Suka jamvi hapa.
Huku Lyon wao watasafiri kwenda kukiwasha dhidi ya Lorient ambao kwasasa wanashika nafasi ya 16 ambayo ni ya 3 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Wenyeji wanataka kulipa kisasi baada ya mechi ya mwisho kupoteza walipokutana. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.
Italia kule SERIE A pia kuna mechi za kupiga pesa ambapo AS Roma atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Cagliari ambao mara ya mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi?. Bashiri hapa.
Lazio atakipiga dhidi ya Bologna ambao wapo nafasi ya 5 huku mwenyeji wake yeye yupo nafasi ya 8. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 6 huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.
Bingwa mtetezi Napoli yeye atakipiga dhidi ya Juventus huku tofauti yao hadi sasa ikiwa ni 5 pekee huku mara ya mwisho kukutana, vijana wa Conte waliondoka na ushindi mechi ya mwisho. Je nani kukupa ushindi siku ya leo?. Beti hapa.


No comments:
Post a Comment