KATIKA msimu huu wa furaha za mwisho wa mwaka, Meridianbet imezindua Sweet Holiday Chase, mchezo unaokupeleka kwenye sherehe za ushindi mnono kila unaposhiriki. Hii ni nafasi adhimu kwa wachezaji wote kwani promosheni hii inakuja na mfuko wa zawadi unaokadiriwa kufikia TSh 14,500,000,000/- ikifanya msimu huu kuwa mtamu zaidi kwa kila mpenzi wa michezo ya kasino mtandaoni.
Kupitia Sweet Holiday Chase, kila mchezaji ana nafasi ya kujinyakulia hadi mara 500 ya dau lake bila kujali kiwango anachoweka. Zaidi ya hapo, zawadi 125,000 hutolewa kila wiki, na kinachofurahisha zaidi ni kwamba kila mzunguko unaoucheza unaweza kukuletea ushindi, bila masharti magumu au vigezo vya kukatisha tamaa. Ukiwa Meridianbet, kila mzunguko ni fursa mpya ya kushinda.
Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kushiriki ni rahisi mno. Unachotakiwa kufanya ni kucheza mizunguko yako kwa kutumia pesa halisi kwenye mchezo wowote uliopo kwenye promosheni. Hakuna kiwango maalum cha dau, beti yoyote inakuhesabu kama mshiriki. Baada ya hapo, unachotakiwa ni kuendelea kufurahia michezo, mfumo hufanya mengine.
Kuhusu namna ya kushinda, Meridianbet imetengeneza mfumo wa kipekee ambapo zawadi hutolewa kwenye mzunguko wowote unaoucheza. Kumbuka, kila mzunguko uliokidhi vigezo unaweza kukupatia zawadi moja kwa wakati. Hii ina maana kwamba kila unapobonyeza “spin”, unajiongezea uwezekano halisi wa ushindi mkubwa au hata mizunguko ya bure.
Katika Sweet Holiday Chase, kadri unavyocheza ndivyo unavyoongeza nafasi ya kukutana na zawadi hizi tamu za msimu. Huu ndio wakati wako wa kugeuza msimu huu kuwa wa kuburudisha zaidi kupitia Meridianbet.


No comments:
Post a Comment