MERIDIANBET imeendelea kuthibitisha kuwa wao ni vinara wa burudani na ubunifu. Safari hii, kwa kushirikiana na Expanse Studio, wamefungua milango mipya kupitia ofa kabambe ya Zombie Apocalypse mchezo unaochanganya taharuki, ubunifu wa hali ya juu, na nafasi nono za ushindi. Ni ofa inayowapa wachezaji wote mwaliko wa kuingia kwenye dunia iliyojaa vishawishi vya bonasi, zawadi na msisimko wa kipekee.
Ofa hii maalum inawapa wachezaji nafasi ya kupata hadi mizunguko 50 ya bure kwenye mchezo wa Zombie Apocalypse, kutegemeana na kiasi cha dau kilichowekwa wakati wa Happy Hour, ambayo hufanyika kila Jumanne na Alhamisi. Mchezaji yeyote aliyejisajili kwenye tovuti au app ya meridianbet.co.tz anaweza kushiriki. Dau la kuanzia 10,000 TSH ndiyo tiketi ya kuingia kwenye neema hii, na mizunguko hutolewa siku hiyohiyo kabla ya saa 12 jioni.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Zombie Apocalypse ni hadithi ya kuvutia. Mchezo umeundwa kwa ubora wa juu ukiwa na mandhari yenye giza, milio ya taharuki, wahusika waliobanwa na janga la zombi, na alama za wild zinazoongeza ushindi kwa kuchukua nafasi ya alama nyingine zote isipokuwa bonasi.
Kwa mashabiki wa michezo ya kasino wanaopenda ofa zenye thamani, ushindi usio na vikwazo, na burudani ya kiwango cha kimataifa, hii ndiyo nafasi ya kung’ara. Jiunge na Meridianbet leo, weka dau lako wakati wa Happy Hour, na acha Zombie Apocalypse ikupeleke kwenye safari ya ushindi.

.png)
No comments:
Post a Comment