HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 8, 2025

Ushindi Upo Nje Nje Siku ya Leo na Meridianbet

 


WAKALI wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa Wikendi hii ipo kwaajaili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za leo hivyo bashiri sasa.

EPL pale mapema kabisa Tottenham Spurs watakipiga dhidi ya Manchester United ambapo tofauti kati yao ni magoli ya kufungwa na kufunga. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa kwenye fainali ya Europa ambapo Spurs waliondoka na ushindi. Je United ya Amorim kulipa kisasi?. Bashiri hapa.

Nao vinara wa ligi Arsenal watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Sunderland ambao wanaendelea kufanya vizuri msimu huu wakiwa na pointi 18 hadi sasa huku The Gunners wao wakiwa na pointi 25. Arteta anahitaji ushindi huu ili aendelee kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi. Je nani kushinda?. Jisajili hapa.

Kwa upande wa Chelsea wao watakuwa nyumbani pia kumenyana vikali dhidi ya Wolves ambao mpaka sasa hawana ushindi wowote kwenye ligi. Mechi hiyo inazikutanisha timu ambazo mara ya mwisho kukutana, The Blues walishinda. Je ni wakati wa wageni kulipa kisasi?. Beti sasa.

Cheza michezo ya kasino leo upige pesa kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

LALIGA kama kawaida kuna mechi za pesa kwani Sevilla ataumana dhidi ya CA Osasuna ambapo tofauti yao ni pointi 2 pekee. Kila timu inahitaji ushindi mkubwa kabisa. Hivyo tengeneza jamvi lako la uhakika siku ya leo.

Atletico Madrid ya Diego Simeone wao watakuwa kibaruani dhidi ya Levante amabo wamepanda daraja msimu huu wakiwa wameshinda 2 pekee huku wenyeji wao wakiwa wameshinda mechi 6. Je unajua kuwa kwenye mechi hii unaweza ukapasua mpunga wa maana?. Jisajili hapa.

Vilevile nao Espanyol Barcelona watakiwasha dhidi ya Villarreal ambao wapo nafasi ya 3 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Timu hizi mara ya mwisho kukutana, Nyambizi wa Njano aliondoka na ushindi mechi zote mbili. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Bashiri na Meridianbet mechi hii.

Pia kule Ujerumani, BUNDESLIGA nayo kuna mechi za pesa Bayer Leverkusen atacheza dhidi ya FC Heidenheim ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Wenyeji wao wapo nafasi ya 5 huku msimu uliopita kila mmoja akishinda mechi moja kati ya mbili walizokutana. Bashiri hapa.

Pia kwa upande wa RB Leipzig wao watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Hoffenheim ambao wanashika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. RB yeye yupo nafasi ya 2 huku akiwa na malengo ya kupigani ubingwa msimu huu. Je nani kuondoka na ushindi?. Suka jamvi lako hapa.

Vinara wa ligi, Bayern Munich wao watapepetana dhidi ya Union Berlin ambapo mpaka sasa vijana wa Kompany wameshinda mechi zote kwenye mashindano yote. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii wamepewa Bayern pale Meridianbet. Je Berlin watakatiza mwendelezo wa ushindi wao?. Jisajili hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad