Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Ibrahim, ni miongoni mwa wabunge waliokula kiapo leo Novemba 12, 2025, katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.
Mbunge huyo ameahidi kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miaka mitano (2025–2030) kwa uadilifu, uaminifu na kujituma katika kusimamia maendeleo ya wananchi.


No comments:
Post a Comment