
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’djili, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo tarehe 14 Novemba 2025. Makamu wa anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Maziwa Makuu utaofanyiika Jijini Kinshasa tarehe 15 Novemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akipokelewa na Waziri wa Biashara za Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Julien Paluku Kahongya, wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’djili, uliyopo Jijini Kinshasa, leo tarehe 14 Novemba 2025. Makamu wa anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Maziwa Makuu utaofanyiika Jijini Kinshasa tarehe 15 Novemba 2025.


No comments:
Post a Comment