HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 12, 2025

Lucky Loser, Hata Ukipoteza Bado Unashinda

 


USHAWAHI kukosa namba zote kwenye mchezo wa Win&Go na ukaishia kukata tamaa? Sasa usiwe na wasiwasi tena. Meridianbet imekuletea Lucky Loser, ofa ya kipekee inayogeuza bahati mbaya kuwa ushindi wa kushangaza. Ndiyo, umesikia vizuri, ukikosa namba zote 6 kwenye tiketi yako, unalipwa mara 30 ya dau lako.

Ofa hii inapatikana kwa tiketi zilizowekwa kupitia akaunti ya pesa taslimu ndani ya mchezo wa Win&Go, na ni kwa zile tiketi zenye namba 6 tu. Hivyo basi, wakati wengine wakilia kwa kukosa, wewe unacheka maana hata ukipoteza, bado unashinda. Huu ndiyo mchezo unaothibitisha kwamba siku zote bahati ipo Meridianbet pekee.

Jambo muhimu kwenye ofa hii maalumu ni kwamba Lucky Loser haitumiki kwa tiketi za mfumo (system tickets) wala zile zilizochezwa kwa kutumia bonus. Pia, Golden Round haihusiki kwenye mahesabu ya ushindi. Mara tu tiketi yako inapokosa namba zote 6, inachukuliwa moja kwa moja kama tiketi ya ushindi chini ya promosheni hii, na haitashiriki kwenye droo ya jackpot.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Meridianbet inaendelea kusimamia ubora wa kila mchezo wake na kuhakikisha wateja wake wanapata kile kilichobora kutokana na ushiriki wao kwenye michezo. Lucky Loser ni mchongo wa kujirudishia kile kilichopotea kwenye mchezo.

Kwa hiyo, sasa ni wakati wako wa kujaribu bahati yako kwa mtindo mpya. Cheza Win&Go ndani ya Meridianbet, sehemu pekee ambapo ukipatia unashinda na bado ukikosa namba zote, unageuka mshindi mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad