.png)
MERIDIANBET, jukwaa linaloongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, linawapa wachezaji fursa ya kipekee ya kuingia kwenye burudani ya mchezo wa kasino mtandaoni wa Super Heli na kujishindia simu nne za kisasa za Samsung A26.
Hii sio tu mchezo wa kufurahisha, bali ni nafasi ya kweli ya kubeba zawadi ya gharama kubwa bila juhudi za ziada. Kila Jumatatu, mshindi mmoja atatangazwa, wakiwapa wachezaji fursa za kushinda simu za kisasa wiki baada ya wiki mwezi huu.
Kwenye Super Heli, unaweka dau lako, na helikopta inaanza kupaa, huku odds zikiongezeka kwa kasi na ushindi wako ukikua. Siri ya kushinda ni rahisi, toa pesa kabla helikopta haijalipuka, kwani ukichelewa, unaweza kupoteza dau lako.
Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino mtandaoni lakini pia una machaguo ya kutosha ukiwa unabashiri na Meridianbet, kila chaguo lina odds kubwa. Jisajili kwa kupiga *149*10# au tovuti www.meridianbet.co.tz
Ili kujiunga na promosheni hii ya kipekee, unahitaji tu akaunti halali ya Meridianbet, ambayo unaweza kufungua kwa urahisi kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au kwa kupakua app ya Meridianbet. Mara tu unapojisajili, anza kucheza Super Heli, na kadri unavyocheza mara nyingi, ndivyo nafasi zako za kuwa mmoja wa washindi wanne wa simu hizi zinavyoongezeka.
Promosheni hii ni fursa ya kipekee ya kufurahia mchezo wa Super Heli huku ukiwa na nafasi ya kujizawadia simu ya kisasa pamoja na ushindi wa pesa taslimu kulingana na dau lako na ustadi wako.
Usipitwe na nafasi hii ya kushinda, ingia sasa meridianbet.co.tz, fungua akaunti yako, cheza Super Heli mara nyingi, na uwe miongoni mwa mabingwa watakao tembea na simu mpya za Samsung A26.

No comments:
Post a Comment