
MUDA wa kutengeneza pesa na Meridianbet umefika leo kwani mechi nyingi za kufuzu Kombe la Dunia zipo nyingi. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa sasa na ujiweke kwenye nafasi ya washindi.
Switzerland atakuwa ugenini dhidi ya Kosovo huku tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee, ambapo mwenyeji yeye yupo nafasi ya kwanza, huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 2. Mara ya mwisho kukutana mgeni alipasuka. Je leo hii anaweza akalipa kisasi akiwa ugenini?. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS KUBWA ingai na ubeti sasa.
Pia kwa upande wa Sweeden yeye ataumana dhidi ya Sloveni ambao mechi iliyopita, walitoa suluhu huku wenyeji wao wakipoteza. Kutokana na hilo timu zote leo hii zinahitaji ushindi huu kwa hali na mali. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.
Mtanange mwingine ni huu wa Belarus vs Greece ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 kwani mpaka sasa mwenyeji hajapata pointi yoyote hadi sasa. Hivyo ushindi kwenye mechi hii ni muhimu sana kwao. Lakini je mgeni atakubali kuachia pointi hizi?. Meridianbet wanakwambia pesa iko karibu sana na wewe leo. Suka jamvi hapa.
Mkwanja upo kwenye mechi za kasino kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Vilevile unaweza ukatengeneza pesa kwenye mechi ya Scotland vs Denmark huku hawa wawili wote mpaka sasa kwenye mechi 4 ambazo wamecheza wamekusanya pointi 10. Kila timu inatafuta ushindi ikae kileleni nyingine inataka kuendelea kukaa hapo. Nani kushinda?. Bashiri hapa.
Nao Spain ambao ndio vinara wa kundi E, watakuwa kibaruani kukipiga dhidi ya Turkiye ambao wapo nafasi ya 2. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipokutana tena kwa mabao sita. Je ataweza dhidi ya vijana wa Luis de la Fuente?. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Beti sasa.
Pia Bulgaria waatamualika Georgia ambao mpaka sasa wana pointi 3, huku wao hawana chochote. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji waliondoka na ushindi huku leo hii mgeni anataka kulipa kisasi. Je nani kuondoka na pointi 3 siku ya leo?. Tandika jamvi lako hapa.

No comments:
Post a Comment