KAMA kawaida, mechi za kufuzu Kombe la Dunia ndizo zinazotikisa ulimwengu wa soka na kubeba fursa kubwa zaidi za kutengeneza pesa. Leo ni siku nyingine yenye michezo mikali kila kona ya dunia, na Meridianbet wamehakikisha haukosi kitu. Wamekuwekea machaguo lukuki, ODDS kubwa, na nafasi kibao za kushinda.
Ni moto wa kuotea mbali pale Ujerumani, ambapo wenyeji watakuwa wakimenyana na Luxembourg. Historia inaonesha wazi timu hizi zilipokutana mwaka 2006, Luxembourg walichapwa mabao 7-0. Leo hii, Ujerumani wamerudi tena na morali ileile ya ushindi. Je, utaweka bet yako upande gani? Meridianbet wamepanga ODDS bab kubwa kwa mchezo huu.
Vijana wa Michael O’Neill, Northern Ireland, wanakaribisha Slovakia katika pambano la kutafuta uongozi wa kundi. Slovakia wanaongoza wakiwa na rekodi bora ya ushindi kwenye mechi zao zote, lakini wenyeji Northern Ireland wanahitaji pointi tatu ili kusalia kwenye mbio. Mechi hii ina zaidi ya machaguo 1000 ndani ya Meridianbet, na ODDS zake ni za kuvutia kweli.
Ukiachana na mechi, unaweza kuongeza kipato chako kupitia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Kila mchezo unalipa zaidi ukiwa na bahati yako upande wako. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kujumuika na dunia ya kubashiri yenye ushindi kila kona.
Mtanange mkali unatarajiwa kuchezwa kwenye dimba la Strawberry Arena ukiwakutanisha Sweden dhidi ya Switzerland. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, Sweden walipata ushindi wa bao 1-0 kwenye Kombe la Dunia 2018. Je, historia itaendelea kujirudia au Switzerland watakuja kulipiza kisasi? Meridianbet wameweka ODDS kubwa mno kwa pambano hili, ni wakati wa kuchukua nafasi yako.
Kosovo watakuwa wenyeji wa Slovenia katika mechi nyingine yenye hamasa kubwa. Ingawa Kosovo waliwahi kuchapwa mara mbili mwaka 2020, leo wanaingia na ari mpya wakiwa na ushindi mmoja tayari. Slovenia, licha ya kuwa wageni, wanaonekana kupewa nafasi kubwa. Je, unaliweka jamvi lako wapi leo? Meridianbet wana kila kitu unachohitaji.
Macho yote yatakuwa kwenye dimba la Parc des Princes, ambapo Ufaransa watakipiga dhidi ya Azerbaijan. Didier Deschamps na vijana wake wanataka kuendeleza rekodi ya ushindi baada ya kukusanya alama 6, huku Azerbaijan wakiburuza mkia kwa alama moja pekee. ODDS ni kubwa, na nafasi ya kushinda ni halisi.
Mchezo wa kufunga pazia utapigwa nchini Iceland, kwenye dimba la Laugardalsvoellur. Iceland wanashikilia nafasi ya pili kwenye kundi D, wakati Ukraine wakiwa nafasi ya tatu. Wote wanahitaji ushindi ili kujiweka pazuri. Meridianbet wamepanga machaguo ya kipekee na ODDS za kuvutia sana kwa mchezo huu.
No comments:
Post a Comment