Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo Agosti 12, 2025 akihutubia wana-CCM na kuwaombea kura wagombea urais, uwakilishi, ubunge na udiwani wa chama hicho katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika uwanja wa Skys Masingini jimbo la Welezo wadi ya Mtofaani Shehia ya Hawaii wilaya Magharibi A mkoa wa mjini Magharibi uliohudhuriwa na mamia ya wananchi.




Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na wagombea uwakilishi, ubunge na udiwani wa chama hicho baada ya mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika uwanja wa Skys Masingini jimbo la Welezo wadi ya Mtofaani Shehia ya Hawaii wilaya Magharibi A mkoa wa mjini Magharibi uliohudhuriwa na mamia ya wananchi.
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na wananchi wenye ulemavu wana-CCM na wagombea uwakilishi, ubunge na udiwani wa chama hicho baada ya mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika uwanja wa Skys Masingini jimbo la Welezo wadi ya Mtofaani Shehia ya Hawaii wilaya Magharibi A mkoa wa mjini Magharibi uliohudhuriwa na mamia ya wananchi.
No comments:
Post a Comment