HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 27, 2025

PIGABET YAENDELEA KUVUNJA REKODI KWA WASHINDI WA WIKI YA 4


 Dar es Salaam,– Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Pigabet inaendelea kutimiza ndoto za wateja wake kupitia kampeni zake kubwa mbili: Shinda Ndinga na Pigabet pamoja na Jismartishe, inayofanyika kwa ushirikiano na Mixx by Yas.

 Katika droo ya wiki hii ya Shinda Ndinga, Shafii Kayamba ameibuka mshindi na kujinyakulia simu mpya aina ya Samsung Galaxy. Wakati huohuo, kampeni ya Jismartishe imezidi kung’ara baada ya washiriki wake wawili kufanikiwa kushinda zawadi nono; Khadija Ally akibeba nyumbani Smartphone ya kisasa, huku mshindi mwingine akipata Hisense Smart TV 55’.

 Akizungumza wakati wa makabidhiano ya zawadi hizo, Mkuu wa Masoko wa Pigabet, Arthur Kazora, alisema:

  “Nina furaha kubwa kuona kuendelea kuwapa zaidi wateja wa Pigabet. Hii ni safari ya pamoja – kila dau linatupa nafasi ya kusherehekea pamoja na wachezaji wetu. Kila dau ni nafasi ya ushindi ukiwa mteja wa Pigabet.”

 Pigabet imekuwa ikifanya droo zake kila Alhamisi, ambapo washindi wapya hutangazwa mara moja siku hiyo hiyo. Safari bado inaendelea, huku zawadi kubwa zaidi – Toyota IST – ikisubiri mshindi mwishoni mwa promosheni ya Shinda Ndinga.

Kampeni hizi zitaendelea hadi Novemba 2025, zikitoa nafasi lukuki kwa Watanzania kujishindia zawadi kubwa na kuandika historia mpya kupitia Pigabet.





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad