HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 10, 2025

VIONGOZI WAKIWASILI VIWANJA VYA BUNGE KWA AJILI YA IBADA MAALUM KUMUAGA SPIKA MSTAAFU HAYATI NDUGAI


Viongozi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwaajili ya kushiriki ibada maalum ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Yustino Ndugai leo, Tarehe 10 Agosti 2025 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Watanzania katika zoezi la kuaga Mwili.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad