HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 7, 2025

TBS YAENDELEA KUTOA ELIMU YA UDHIBITI UBORA KWENYE MAONESHO NANE NANE MKOANI LINDI

Afisa Udhibiti Ubora (TBS) Bw. Ismail Laizer akitoa elimu kuhusu masuala ya viwango kwa wananchi waliohudhuria maonesho ya nanenane yaliyofanyika katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.

TBS imewasisitiza wananchi kutotumia vipodizi vyenye viambata sumu kwa ajili ya usalama wa kiafya.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad