

Mawakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wakiwa ndani ya banda la Maonesho la Ofisi hiyo tayari kuwahudumia wananchi na wadau wanaotembelea banda hilo wakati wa Maonesho ya Nanenane yaliyoanza leo tarehe 01 Agosti 2025, Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment