HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 17, 2025

NYAKAGWE FC YATINGA FAINALI, KUKUTANA NA NYASUBI FC KAHAMA MAPUNG’O CUP 2025

Timu ya Nyakagwe FC kutoka Kijiji cha Nyakagwe imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Mapung’o Cup 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2–1 dhidi ya Geita Veteran kutoka Mjini Geita.
Fainali inatarajiwa kuwakutanisha Nyakagwe FC na Nyasubi FC ya Kahama katika pambano linalosubiriwa kwa hamu Ijumaa Agosti 22, 2025.
Mshindi wa kwanza wa mashindano atazawadiwa Shilingi Milioni 5, mshindi wa pili ataondoka na Shilingi Milioni 3, huku zawadi za heshima zikitarajiwa kutolewa kwa Mchezaji Bora, Kipa Bora na Timu Yenye Nidhamu, kila mmoja akijinyakulia Shilingi Elfu 50 pamoja na mfungaji Bora


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad