Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)
Mhe. Salum Mwalimu. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Devotha Mathew
Minja (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 12, 2025 ambapo Tume inataraji
kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume,
Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Waandishi wa Habari, Salum Mwalimu aliyepata kufanya kazi katika kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Devotha Minja aliyekuwa mwandishi wa ITV mkoa wa Morogoro leo wamechukua mkoba wa fomu za uteuzi wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha CHAUMA. Wagombea hao pichani wakiwa na mkoba wao wa fomu za uteuzi.Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Mhe. Salum Mwalimu akielekeza namna ya kujaza kitabu.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Mhe. Salum Mwalimu akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza Mhe. Devotha Minja akisaini kitabu
Mgombea Mwenza Mhe. Devotha Minja akisaini kitabu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kilima akizungumza.
Baadhi ya wajumbe wa Tume wakiwa katika utoaji fomu.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Chauma wakiwa katika utoaji fomu.
Mwenyekiti wa Chauma Mhe. Hashim Rungwe akiwa Benson Kigaila
No comments:
Post a Comment