HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 18, 2025

MIAKA 5 YA UONGOZI MADHIBUTI, UADILIFU, UNYEYEKEVU, MAONO NA MATOKEO MAKUBWA

 MTAA KWA MTAA BLOG leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.

Umekuwa muhimili Mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na kuongeza thamani ya benki sokoni.

Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad