HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 1, 2025

Meridianbet Yawaletea Ushindi Mkubwa Kupitia Mystery Multiplier Drop

 


KATIKA kuhakikisha kuwa wateja wake wanaburudika zaidi na kuondoka na tabasamu la ushindi, Meridianbet, kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri Tanzania, imezindua kampeni mpya ya kusisimua inayojulikana kama Mystery Multiplier Drop. Hii ni kampeni ya kipekee iliyobuniwa mahsusi kwa wachezaji wa kasino wanaotumia pesa halisi, na sasa inatoa nafasi ya kipekee ya kuibuka na zawadi za pesa taslimu kupitia michezo ya Wazdan.

Kampeni hii ilianza rasmi tarehe 28 Julai na itaendelea hadi tarehe 11 Agosti, kipindi ambacho kinatarajiwa kuwa cha moto kwenye ulimwengu wa kasino ya Meridianbet. Katika kipindi hiki, kila dau linalowekwa kwenye michezo shiriki linaweza kukuletea zawadi usiyoitarajia, na ushindi huo kuingia moja kwa moja kwenye akaunti yako kama pesa taslimu. Naam, ni zawadi za papo kwa hapo.

Cha kuvutia zaidi, hakuna kiwango cha chini cha dau kinachohitajika. Hii ina maana kuwa kila mtu ana nafasi sawa ya kushiriki, iwe unacheza dau la kawaida au la juu. Hakuna gharama ya ziada ya kujiunga, kinachohitajika ni kuweka dau kwenye michezo husika ya Wazdan katika kipindi cha kampeni. Hapo ndipo unapojikuta tayari kwenye mbio za kuelekea ushindi.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kampeni hii ni sehemu ya mpango mkubwa wa Meridianbet unaogharimu zaidi ya TZS Bilioni 15 katika jumla ya zawadi. Ndani ya kampeni hii pekee, kiasi cha TZS Bilioni 2.1 kimewekwa kwa ajili ya zawadi, fedha zitakazomiminika bila masharti ya wagering. Iwapo mchezaji atashinda akiwa anatumia bonus funds, basi zawadi hiyo itawekwa kama bonasi.

Ni muhimu kutambua kuwa washiriki lazima wawe wateja waliothibitishwa wa Meridianbet ili kustahili zawadi. Pia, Meridianbet inahifadhi haki ya kughairi zawadi yoyote itakayoshukiwa kutolewa kwa njia isiyo halali, ikiwa ni pamoja na makosa ya kiufundi au udanganyifu.

Kwa wapenzi wa kasino, huu ni wakati wa kuibuka na ushindi unaoweza kukubadilishia maisha. Hii siyo tu burudani, bali ni fursa halisi ya kubadilisha bahati yako kupitia michezo ya Wazdan ndani ya jukwaa la Meridianbet.

Usikubali kupitwa. Ingia sasa Meridianbet, chagua michezo ya Wazdan, weka dau lako na ujiandae kwa mshangao wa Mystery Multiplier Drop. Pesa zinamwagika muda wowote na huenda zikaangukia kwenye akaunti yako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad