HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 15, 2025

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI MADAGASCAR KUSHIRIKI MKUTANO WA 45 WA SADC

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri Mkuu wa Madagascar Mhe. Christian Ntsay wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato – Antananarivo leo tarehe 15 Agosti 2025.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato – Antananarivo nchini Madagascar leo tarehe 15 Agosti 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad