HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 13, 2025

KYARA WA SAU ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS UCHAGUZI MKUU 2025

 

Wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara na Mhe. Satia Mussa Bebwa (kushoto) wakionesha mkoba wa fomu za uteuzi waliokabidhiwa na Tume leo Agosti 13, 2025. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe. Majalio Paul Kyara. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Satia Mussa Bebwa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 13, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Satia Mussa Bebwa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 13, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima akimwelekeza mgombea Mhe. Majalio Paul Kyara namna ya kujaza kusaini kitabu.

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara akisaini kitabu

Mgombea Mwenza, Mhe. Satia Mussa Bebwa akisaini kitabu huku akishuhudiwa na Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara.

Wanahabari wakiwa katika ukumbi wa kutolea fomu wakichukua matukio.


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.




Wanachama wa SAU wakiwa ukumbini hapo.

Wanachama wa SAU wakiwa ukumbini hapo.



Wagombea wakiwa ukumbini.



Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara akizungumza na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad