HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 12, 2025

Bonasi Mara Tatu, Meridianbet Inakupeleka Kwenye Ulimwengu wa Ushindi

 


WAPENZI wa michezo pamoja na kasino mtandaoni wanapata msisimko mpya kupitia 1st, 2nd & 3rd Deposit Welcome Bonus ya Meridianbet, ofa ya kipekee inayokupa nafasi ya kushinda mara tatu zaidi, pamoja na mizunguko ya bure (Free Spins) hadi 150 katika kila hatua ya amana zako tatu za mwanzo.

Meridianbet, jina kubwa na lenye kuaminika kwenye ubashiri wa michezo na michezo ya kasino, inakukaribisha kwenye safari ya ushindi kwa hatua rahisi tu. Unachohitaji ni kujisajili kupitia tovuti ya Meridianbet.co.tz au kupitia app ya simu, kisha kuweka dau mara tatu ndani ya muda uliopangwa. Kila hatua ya dau lako inaleta bonasi kubwa zaidi, ikimaanisha kila hatua ni fursa ya kujizidishia ushindi.

Kwenye dau la kwanza, mteja anatakiwa kuweka fedha ndani ya siku 6 (masaa 144) tangu usajili wake, kisha kutumia dau lote mara mbili (2x) kwenye michezo ya odds 1.95 au zaidi, au kufanya mizunguko mitatu (3x rollover) kwenye slot machines siku hiyo hiyo. Masharti yakitimia, unapata 150% Sports Bonus pamoja na hadi 150 Free Spins. Idadi ya free spins utakazopokea inategemea kiwango cha dau lako ila zinapatikana kuanzia 20 hadi 150.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Dau la pili lazima liwekwe ndani ya siku 8 (masaa 192) tangu usajili. Hapa, utatakiwa kutumia dau lote mara mbili kwenye michezo ya odds 1.95 au zaidi, au 3x rollover kwenye slot machines. Bonasi hii inalipa 200% Sports Bonus na hadi 150 Free Spins, kulingana na kiwango cha dau lako. Kadri unavyoweka zaidi, ndivyo zawadi zinavyoongezeka.

Awamu ya tatu, ambayo ni hatua ya mwisho ya ofa hii, inatakiwa kuwekwa dau ndani ya siku 10 (masaa 240) tangu usajili. Na kwa hatua hii pia dau linapaswa kutumika mara mbili kwenye michezo ya odds 1.95 au zaidi, au 3x rollover kwenye slot machines siku hiyo hiyo. Bonasi hii inalipa zaidi ya 250% Sports Bonus na hadi 150 Free Spins ikihitimisha mbio zako za bonasi mara tatu mfululizo.

Meridianbet imeweka masharti mepesi ili kila mshiriki apate nafasi ya kushinda ambapo kiwango cha chini cha dau ni 1,000 TZS, kiwango cha juu cha Sports Bonus ni 50,000 TZS, na mizunguko yote ya bure ni halali kwa siku 7 tangu kupokelewa.

Usikubali nafasi hii ikupite. Jiunge leo na Meridianbet, weka dau lako mara tatu ndani ya muda uliopangwa, na ufurahie bonasi kubwa pamoja na mizunguko ya bure ya kasino.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad