MWEZI wa Julai umefika, na Meridianbet imeandaa zawadi murua kwa wachezaji wake. Jiandae kwa promosheni ya kipekee ambayo inakupa nafasi ya kujishindia moja kati ya simu tano mpya kabisa aina ya Samsung Galaxy A25. Kuanzia Julai 1 hadi Julai 31, 2025, Meridianbet inakualika kujumuika nao katika safari hii ya ushindi kupitia app ya Meridianbet au tovuti rasmi kwa watumiaji waliothibitishwa pekee.
Iwe wewe ni mpenzi wa kubashiri mechi au unapendelea michezo ya kasino, huu ndio wakati wako. Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau lako na kucheza, yaani ni rahisi kabisa. Kila dau unaloweka kwenye michezo au kasino linaongeza nafasi yako ya kuingia kwenye droo ya kumpata mmoja wa washindi watano wa simu ya kisasa ya Samsung Galaxy A25. Kumbuka, kucheza mara nyingi kunamaanisha nafasi kubwa ya kushinda.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na Super Heli, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Droo kubwa ya kutangaza washindi itafanyika tarehe 1 Agosti 2025, na majina ya washindi yatatangazwa siku hiyo hiyo. Hakikisha taarifa zako kwenye akaunti yako ya Meridianbet zimesasishwa ipasavyo ili usikose taarifa ya ushindi wako. Kwa uwazi na usawa wa promosheni, ni mtumiaji mmoja tu anayeruhusiwa kwa kila anwani. Pia, fahamu kwamba Turbocash na system tickets hazitahesabiwa katika kampeni hii.
Usikubali nafasi hii ipite bila kujaribu bahati yako. Cheza michezo unayoipenda kama kawaida, lakini safari hii ukiwa na matumaini makubwa kwa sababu unaweza kupokea simu ikikuambia, "Hongera, Umeshinda Samsung Galaxy A25 mpya kabisa kwa kucheza na Meridianbet!" Hii ni zawadi halisi ya wachezaji halisi.
Kama ilivyo desturi, Meridianbet inayo mamlaka ya kufanya mabadiliko au hata kusitisha promosheni hii muda wowote. Hivyo basi, usingoje hadi dakika za mwisho, anza sasa na ujiongezee nafasi yako ya kuibuka mshindi. Vigezo na masharti ya Meridianbet vinatumika, hivyo hakikisha unavifahamu kikamilifu.
Jiunge sasa kupitia meridianbet.co.tz, weka dau lako, anza kucheza michezo yako pendwa, na unaweza kuwa mmoja wa washindi wa zawadi ya simu mpya ya Samsung Galaxy A25. Huu ndio mwezi wa kubadili maisha yako kwa beti moja tu.
No comments:
Post a Comment