Mkurugenzi Mkuu wa Mamlakla ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Dkt. Adam Fimbo (kulia) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanya vya sabasaba jijini Dar es Salaam.


Watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (kulia) wakitoa elimu kuhusu majukumu ya Mamlaka kupitia mitandao ya kijamii pamoja na vipeperushi.



Wananchi wakisaini kitabu cha wageni waliotembelea banda la Mamlaka kwenye Maonesho Sabasaba 2025.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam wakitembelea kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea kufanyika katika viwanya vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wataalam kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (kulia) wakitoa elimu kuhusu majukumu ya Mamlaka kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na nje ya Dar es Salaam waliotembelea banda la Mamlaka katika maonesho ya 49 Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment