HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 30, 2025

DKT.SWARE SEMESI- NEMC ASHIRIKI UZINDUZI WA MFUMO W KIDIGITALI NCHINI GHANA

NEMC imeshiriki uzinduzi wa mfumo wa kidigitali wa kufuatilia uchafuzi wa mazingira(online continuous emissions monitoring System) ambao umelenga kurahisisha upatikanaji wa taarifa za uchafuzi.

Uzinduzi huo umefanyika tarehe 29 Julai 2025 Accra nchini Ghana.

Mkurugenzi Mkuu Dkt. Immaculate Aware Semesi ameambatana na, Afisa Sheria Mkuu NEMC Bi.Jackline Nyantori.









No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad