HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 1, 2025

Bashiri GG&3+ Real vs Juve Ushinde Mara 2

 


LEO tena katika dimba la Hard Rock kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Real Madrid vs Juventus. Timu zote zinawania nafasi ya kwenda Robo Fainali. Bashiri mechi hii na chaguo la GG&3+ uibuke bingwa sasa.

Juventus ambao wana kocha mpya Igor Tudor wanahitaji kushinda taji hili lenye thamani kubwa baada za kumaliza msimu wakiwa hawajapata Kombe kwenye michuano yote. Pia klabu hiyo wanataka kuendeleza kuendeleza ubabe wao mbele ya vijana wa Xabi Alonso baada ya mechi ya mwisho ya kirafiki kushinda walipokutana.

Hii ni michuano ya Kombe la Dunia la vilabu ambapo timu zote zinafanya vizuri huku kunapoendelea mechi zinaonekana kuwa na ubora zaidi. Real baada ya kushindwa kufurukuta msimu huu kwenye mashindano yote, sasa wanataka hili taji kwa hali na mali.

Meridianbet wanakwambia huku timu hizi zikitafuta nafasi ya kusonga mbele, wewe pia unaweza kusonga mbele kwa kuchagua kubashiri mechi hii kwa GG&3+ ujiweke kwenye nafasi ya kupata bonasi ya kibabe kabisa. Bashiri mechi hii.

Pia Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee

● Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 01 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza

● Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Real Madrid vs Juventus kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Real Madrid vs Juventus kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Real Madrid vs Juventus lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2
Kama mchezo wa Real vs JuventuS ukimalizika 0-0

● Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.

● Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad