HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 14, 2025

Tamasha LA fintech lakutanisha wadau mbalimbali kutoka nje na ndani ya Tanzani

Tamasha la Fintech la teknolojia ya kifedha katika Afrika mashariki lilionza tarehe 13 juni mwaka 2025 katika ukumbi wa Julius Nyerere international convention center (JNICC), limeelezwa ndio tamasha kubwa zaidi Afrika mashariki linalokutanisha wakali wa teknolojia wa fedha kutoka nchi zaidi ya 70 Duniani na kuungana na jumuiya ya fintech na kujadili fursa mbalimbali zinazosaidia kukuza teknolojia ya kifedha pamoja na kuinua uchumi kwa njia ya teknolojia.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Eastern Star consulting group bw. Deogratius Kilawe katika ufunguzi wa tamasha hilo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad