HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 6, 2025

Stars Kukipiga Na Bafana Bafana usiku wa Leo

 



TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani usiku wa leo kuivaa wenyeji Bafana Bafana ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaopigwa kwenye Uwanja wa Peter Mokaba, mjini Polokwane, kuanzia saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Meridianbet wanakupa Odds kabambe kuelekea mchezo huu.

Ingawa ni mechi ya kirafiki, pande zote mbili zimeonyesha dhamira ya dhati kuutumia mchezo huu kama maandalizi muhimu kuelekea mashindano ya COSAFA yanayoendelea nchini Afrika Kusini. Kwa upande wa Tanzania, huu ni mtihani muhimu kwa kikosi cha Kocha Hemed ‘Morocco’ Suleiman, ambaye analenga kuimarisha timu kabla ya mashindano ya CHAN mwezi Agosti, pamoja na kuendelea kwa kampeni ya kufuzu Kombe la Dunia mwezi Septemba. Weka bashiri yako kwenye mchezo huu na Meridianbet uingize faida mara dufu.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

“Kuwa na mchezo kama huu dhidi ya timu yenye ubora kama Afrika Kusini ni nafasi muhimu ya kupima uwezo wa vijana wetu, kurekebisha kasoro na kujenga muunganiko wa timu kabla ya mashindano yanayokuja,” alisema Kocha Morocco.

Kikosi cha Taifa Stars kwa sasa kinajumuisha mchanganyiko wa wachezaji wanaocheza ndani na nje ya nchi, wakiwemo, Simon Msuva (Al Talaba, Iraq), Selemani Mwalimu (Wydad AC, Morocco) na Alphonce Mabula (Shamakhi, Azerbaijan)

Wachezaji hawa wanatarajiwa kuongeza uzoefu wa kimataifa katika kikosi kinacholenga kufanya vizuri kwenye mashindano yajayo, ikiwa ni pamoja na CECAFA Senior Men’s Challenge Cup. Meridianbet wameupa mchezo huu machaguo Zaidi ya 1000, yote yanakusubiri wewe ufanye bashiri yako.

Katika historia ya kukutana kwa timu hizi, Tanzania na Afrika Kusini zimekutana mara tatu, mwaka 2002 walipopata sare ya 1-1, 2011 Afrika Kusini wakishinda 1-0 kwenye mechi ya kirafiki, na 2017 Tanzania wakishinda 1-0 katika michuano ya COSAFA.

Mchezo wa leo unatarajiwa kuwa wenye ushindani mkubwa na burudani ya hali ya juu, huku Taifa Stars ikitafuta kuendeleza historia nzuri dhidi ya Bafana Bafana. Wapenzi wa soka wanahimizwa kuufuatilia mchezo huu lakini wale wabashiri pia mnaimizwa kuweka bashiri zenu na Meridianbet kwenye mchezo huu pamoja na michezo mingine mingi inayopatikana kwao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad