HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 18, 2025

Ratiba Ligi Kuu Uingereza 2025/26 Yatangazwa, Kuja na Fursa kwa Wabashiri wa Meridianbet

 


RATIBA ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu wa 2025/26 hatimaye imetolewa rasmi leo, Juni 18, saa 9:00 asubuhi kwa saa za Uingereza. Hii ni habari njema kwa wapenzi wa soka na hasa kwa wabashiri wa Meridianbet waliokuwa wakisubiri kwa hamu kubwa kujipanga kwa msimu mpya wa ushindani mkali.

Msimu huu mpya wa EPL utaanza Agosti 15, 2025 hadi Mei 24, 2026, ukiwa na jumla ya mechi 380.

Mechi ya kwanza ya msimu itapigwa Ijumaa, Agosti 15, ambapo mabingwa watetezi Liverpool watafungua dimba dhidi ya Bournemouth. Raundi ya kwanza itaendelea Agosti 16 na 17, ikiwemo pambano la kusisimua kati ya Manchester United na Arsenal ambalo tayari linatazamiwa kuwa la kuvutia na la kuweka mwelekeo wa msimu mpya.

Katika raundi hiyo ya kwanza pia, Manchester City wataanza kampeni yao ugenini dhidi ya Wolves, huku Aston Villa wakikabiliana na Newcastle katika dimba la Villa Park. Hizi ni mechi zinazotarajiwa kuwa kivutio kwa mashabiki na fursa ya kuvuna kwa wabashiri kupitia Meridianbet.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Baadhi ya mechi kubwa za msimu ambazo si za kukosa kutazama ni pamoja na Derby ya Manchester itakayopigwa Septemba 13, pamoja na North London Derby kati ya Arsenal na Tottenham itakayokuwa mwishoni mwa mwezi Novemba.

Raundi ya mwisho ya msimu itachezwa Mei 24, 2026, ambapo timu zote 20 zitashuka dimbani kwa wakati mmoja. Kama kawaida, hii ni siku yenye mvuto mkubwa ikizingatiwa kuwa mara nyingi huamua bingwa wa ligi, timu zinazoshuka daraja, na wale wanaofuzu michuano ya Ulaya.

Wakati klabu zikiendelea kufanya usajili wa nguvu kuelekea msimu mpya, hii ni fursa kwa wabashiri kujiandaa mapema kupitia Meridianbet, jukwaa linaloaminika kwa bashiri za michezo. Soka la EPL si tu burudani, bali pia njia ya kipato kwa wanaojipanga vyema.

Ratiba kamili ya mechi zote inapatikana kwenye tovuti rasmi ya Ligi Kuu ya Uingereza.

Je, Liverpool wataweza kulitetea taji lao? Arsenal au Manchester City watarudi kwa nguvu? Au timu tusiyoitarajia itaibuka na kutuacha na mshangao?

Majibu ya maswali haya yatapatikana kuanzia Agosti 15. Jiandae kwa msimu mwingine wa burudani ya kiwango cha juu na fursa ya kujishindia pesa kupitia Meridianbet.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad