HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 18, 2025

RAIS WA ZANZIBAR DKt. MWINYI AKABIDHIWA TUZO YA MAALUMU YA UHAMASISHAJI BORA WA UWEKEZAJI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya kuwa Muhamasishaji Bora wa Sekta ya Uwekezaji Zanzibar,akikabidiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff (kushoto kwa Rais) wakati wa hafla ya chakula maalumu na utoaji wa Tuzo kwa Wawekezaji Zanzibar,iliyoandaliwa na Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 17-6-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Chakula Maalumu na Utoaji wa TUZO kwa Wawekezaji mbalimbali waliowekeza Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi”B” Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 17-6-2025.(Picha na Ikulu)



WAWEKEZAJI mbalimbali na wageni waakikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichai) akihutubia katika hafla maalumu ya Chakula cha usiku na utoaji wa TUZO kwa Wawekezaji,iliyoandaliwa na Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 17-6-2025.(Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad