Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya hafla ya kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika tarehe 23 Juni 2025 Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akibonyeza kitufe wakati akizindua Mfumo wa Ubadilishanaji Taarifa Serikalini baada ya kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika tarehe 23 Juni 2025 Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Boniphace Simbachawene akizungumza na Watumishi wa Umma kutoka Wizara, Idara na Taasisi za Serikali wakati wa kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika tarehe 23 Juni 2025 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bi.Asha Hayeshi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya hafla ya kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika tarehe 23 Juni 2025 Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment