HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 11, 2025

MKUU WA MKOA WA TANGA AZINDUA MRADI WA INCLU-CITIES

 

Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akipanda mti kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa INCLU-CITIES unaodhaminiwa na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ubelgiji (ENABEL).
Baadhi ya matukio ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Batlida Salha Burian mbalimbali ya upandaji miti.

Mwandishi Wetu
MKUU wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akipanda mti kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa INCLU-CITIES unaodhaminiwa na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ubelgiji (ENABEL).

Kupitia uzinduzi huo, chuo cha VETA-Tanga kinatarajia kupanda miti zaidi ya 1500 kutoka eneo la Kwa Minchi hadi Pongwe kama sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Green and Smart City (SASA) mkoani Tanga.

Miti hiyo itapandwa mita 10 pembezoni mwa barabara kuu ya Tanga - Korogwe ili kuukijanisha mkoa wa Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad