HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 20, 2025

Kinondoni B Wafikiwa na Meridianbet Leo

 


IJUMAA ya leo Meridianbet imefika maeneo ya Kinondoni B na kugawa vifaa vya usafi eneo hili kwaajili ya kutunza mazingira. Usafi ni muhimu kwa binadamu wote kwasababu huweza kujikinga na magonjwa mbalimbali yanayosababisha na mazingira machafu.

Zoezi hilo zima la kwenda Kinondoni liliongozwa na Nancy Ingram ambaye ndiye Mhariri wa Meridianbet pamoja na timu yake nzima na kupokelewa vizuri kabisa na uongozi mzima wa Maendeleo ya jamii ya mpakani B ambapo vifaa ambavyo vilitolewa ni pamoja na mapipa ya takataka(Dustin Bins).

Meridianbet waliona safari hii waiguse Kinondoni kwani imepita muda mrefu sana kuwatembelea wakazi wa hapo huku nia na madhumuni ikiwa ni kudumisha usafi katika maeneo ya mashule, vituo vya afya na ofisi mbalimbali zilizopo ndani ya mtaa wa Mpakani B.

Hii sio mara ya kwanza kwa wakali hawa wa ubashiri Tanzania Meridianbet kurejesha kwenye jamii kile kidogo wanachokipta kwani wanaiangalia jamii kwa jicho tofauti kabisa. Lakini pia wanakuambia hivi unaweza kutengeneza pesa kupitia wao kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Ukiachana na hilo, Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo vya usafi Bi Nancy Ingram kutoka Meridimabet alisema kuwa, “Tunaamini kuwa usafi ni nguzo muhimu ya afya na maendeleo. Kwa kugawa mapipa haya ya taka, tunalenga kusaidia Ofisi ya Serikali ya Mtaa kufanya usambazaji sahihi kwa taasisi zinazowahudumia watu wengi kila siku hasa watoto mashuleni na wagonjwa hospitalini.”

Kwa upande wa Kinondoni kupitia Mwenyekiti wao wa Mtaa wa Mpakani B alifurahia sana ujio wa Meridianbet na akasema kuwa, “Tunafurahia kuona taasisi kama Meridianbet zikijitokeza kusaidia jamii yetu. Hii ni hatua nzuri ya kuimarisha mazingira yetu na ni mfano wa kuigwa na wengine.”

Mwenyekiti huyo alisema kuwa wasiishie hapa kwani jamii ina mahitaji mengi sana ambayo yanahitaji kusaiwdiwa kwenye nyanja zote kuanzia kwenye elimu, afya na nyingine nyingi. Lakini pia wanazitaka na kampuni zingine zifuate njia ya Meridianbet.

Meridianbet imeendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo ya jamii nchini Tanzania kupitia miradi mbalimbali inayogusa sekta za elimu, afya, michezo, na mazingira. Ugawaji huu wa dustbins ni mwendelezo wa dhamira ya kampuni hiyo ya kuwa sehemu ya suluhisho la changamoto zinazowakabili wananchi wa kawaida.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad