HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 29, 2025

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu UWT Taifa Jesca Mbogo ajitosa Viti Maalum, Dodoma

Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu UWT Taifa Bi.Jesca Mbogo leo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma, Bi.Jesca amekabidhiwa fomu leo na katibu wa UWT Mkoa wa Dodoma Bi. Irimina Mushongi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad