HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 11, 2025

Rais Dkt. Samia Aongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei, 2025.













No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad