
Na Mwandishi Wetu
WATUMISHI wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika mkoani Singida katika viwanja vya bombandia, ambapo Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kauli mbiu ya Mwaka huu inasema “Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki”
No comments:
Post a Comment