Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati wakiimba wimbo wa mshikamano kwenye maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika kitaifa, katika viwanja vya
Bombadia mkoani Singida.
Kwenye maadhimisho hayo, Benki ya CRDB ambayo ni Mwajiri Bora zaidi nchini, iliungana na Watanzania pamoja na dunia nzima kusherehekea mchango wa wafanyakazi katika kukuza uchumi.
Benki hiyo iliwakilishwa na viongozi kutoka Makao Makuu pamoja na wafanyakazi kutoka makao makuu, kanda ya kati na matawi ya Singida wakiongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha, Fredrick Nshekanabo aliyesindikizwa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Godfrey Rutasingwa.

Afisa Mkuu wa Fedha, Fredrick Nshekanabo (watano kushoto) akiwa na wageni wengine kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati wakiimba wimbo wa mshikamano
kwenye maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika
kitaifa, katika viwanja vya
Bombadia mkoani Singida.
Magari ya Benki ya CRDB yakiwemo Matawi yanayo temebea yakishiriki katka maadamano ya Mei Mosi yaliyofanyika katika viwannja vya Bombadia Mkoani Singida.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwapungia wafanyakazi waliokuwa wakipita kwa maandamano mbele yake wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika kitaifa, katika viwanja vya
Bombadia mkoani Singida.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika kitaifa, katika viwanja vya
Bombadia mkoani Singida.
No comments:
Post a Comment