HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 29, 2025

Wananchi wa Mialo Ya Ziwa Waiomba Serikali Kuboresha Miundombinu

Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC  Nah.Mussa Mandia akizungumza na katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe wakati Bodi hiyo ilipofanya ziara ya kukagua shughuli za Mialo na Ziwa katika Wilaya hiyo. 

Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC  Nah.Mussa Mandia akizungumza na na Wananchi wa Chamchuzi  hawapo pichani wakati bodi  ilipotembelea wa mwalo  uliopo  katika Kijiji hicho.

Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nah.Mussa Mandia akimkabidhi zawadi ya TASAC  Katibu Tawala wa Wilaya ya Karagwe Rasul Shandala K wakati wa Bodi hiyo ilipotembelea  Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe  katika ziara ya Bodi mkoani Kagera.
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Julius Laizer akizungumza  na bodi ya TASAC iliyotembelea Ofisi yake hawapo pichani ikiwa ni ziara ya Bodi katika Wilaya hiyo.
Afisa Mtendaji wa Chamchuzi Jonas Philimaerik akizungumza na wananachi wakati wa bodi ya TASAC ilipofanya ziara katika mwalo huo.






Matukio katika picha wakati ziara ya Bodi ya TASAC wilayani Karagwe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad