Usikose fursa hii ya kipekee! Hospitali hii maarufu kutoka Uturuki inaleta mtaalamu hapa jijini Dar es Salaam kwa ushauri wa afya ya figo na masuala ya upandikizaji figo!
Njoo upate uchunguzi wa afya ya figo zako, uulize maswali, na ujifunze zaidi kutoka kwa wataalamu wa kimataifa.
Okoa muda na pesa – njoo uzungumze na mtaalamu wa figo moja kwa moja! Watakuwepo tarehe 2-3 mwezi Mei, hapa DOCTORS PLAZA MOROCCO
Kwa mawasiliano tupigie simu kwa namba: 0710 344 341 au 0683 074 130
No comments:
Post a Comment