HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 29, 2025

Huduma ya ushauri kutoka kwa mtalaamu wa IVF na magonjwa ya wanawake kutoka MEMORIAL HOSPITAL UTURUKI

 


Usikose fursa hii ya kipekee! Hospitali hii maarufu kutoka Uturuki inaleta mtaalamu hapa jijini Dar es Salaam kwa ushauri wa afya na masuala ya uzazi na IVF kwa wanawake

Kama unapanga kupata mtoto au unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu afya ya uzazi kwa wanawake njoo ufanye uchunguzi, uulize maswali, na ujifunze zaidi kutoka kwa wataalamu wa kimataifa.

Okoa muda na pesa – njoo uzungumze na mtaalamu wa IVF  moja kwa moja! Watakuwepo tarehe 2-3 mwezi wa Mei, hapa DOCTORS PLAZA MOROCCO

Kwa mawasiliano tupigie simu kwa namba: 0710 344 341 au 0683 074 130.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad